Crystal
TZS 11,000
Maelezo ya Bidhaa
sabuni hii ya multipurpose liquid soap inafaa kwa kazi 3 kuu:
*kuosha vyombo
*kudekia na kuacha sakafu na harufu nzuriii
* kunawia mikono ambapo ni laini mikononi.
Tathmini
Bado hakuna tathmini.